Praise The Lord
Sunday, August 7, 2011
WAIMBAJI WA EBENEZER MINISTRY (EMT) WAPATA ULAJI
WINNER MAGELE
Baadhi ya wasanii wa kundi la Ebenezer ministry (EMT) linalojishughulisha na kupeleka injili kwa njia ya filamu wamepata ulaji wa kucheza filamu nyingine ambayo imeandaliwa na msanii mkongwe wa filamu tanzania kutoka chuo cha splended tanzania violet gelard akiongea na blog hii msanii violet gelard ambaye kwa sasa yupo mikumi amesema upigaji wa picha kw ajili ya filamu yake mpya ambayo akutaka kutaja jina lake zimeshaanza kupigwa. amewataja wasanii hao kwa majina kuwa ni winner magele , joyce muhinga, na mastaa wengine wengi
LUCY CHALAMILA
EDWIN OTEN
JOYCE MHINGA a.k.a MAMA GODLOVE
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment