Sunday, May 15, 2011

HIVI NDIVYO MAZISHI YA WAIMBAJI WAWILI WA AMBASSADORS HUKO RWANDAYALIVYOKUWA


Waliokuwa waimbaji wa Ambassadors of Christ waliolala mauti Amosi,Philbert na Gatare Jim Ephraim

 Waimbaji wa Ambassadors wakiwa wamebeba jeneza



Mke wa Gatare Jim Ephraim akilia

Umati wa watu ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Remera wakati wa ibada ya mazishi



Baba wa Gatare Jim Ephraim akizungumza


Mama wa Gatare Jim Ephraim


Ambassadors of Christ wakiimba kwenye ibada ya mazishi kanisani Remera

Kiongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato nchini Rwanda  (mwenyemiwani) alitoa maneno ya faraja


Maneno ya mwisho yaliyosemwa na waliofariki, wakiwa safarini kurejea Kigali, Rwanda.


1. "KAZI NILIYOTAKIWA KUFANYA KATIKA KUNDI HILI, NIMEIMALIZA.IMEBAKI KWENU KUIENDELEZA-AMOSI PHARASE 



2. "NYOTE MLIO KATIKA GARI HII, LAZIMA MJUE KILA MTU ANA JUKUMU LA KUONGOZA KUNDI HILI, HATA KAMA KESHO MIMI SITAKUWEPO.-GATARE JIM " 



3. "DADA NAKUOMBA MSAMAHA, HATA KAMA WEWE NDO UMENIKOSEA, NAMI JINSI NILIVYOPOKEA, NAWEZA KUWA NIMEKUKOSEA PIA.-MANZI PHILBERT”


 Maneno yaliyoamsha ari kwa gari zima kuombana msamaha, na haikupita dk 10, ajali ikatokea!
 

1 comment:

  1. jamani,inasikitisha sana, wamekufa bado vijana kabisa, da! MUNGU AWAPE UVUMILIVU NDUGU WA MAREHEMU, PIA TUNAKUMBUSHWA KUWA TAYARI WAKATI WOWOTE,

    ReplyDelete