Thursday, February 16, 2012

kubwa kuliko:

wadau wangu napenda kuwapa taarifa mpya kuwa niko katika hatua za mwisho katika kukamilisha filamu yangu mpya kwa mwaka huu ndani ya filamu hii kuna mengi ya kujifunza so nahitaji maombi yenu pia tarajia kuona jinsi watu wanavyoweza kutumia vipaji vyao walivyo pewa na Mungu kupitia filamu hii ambayo ni nzuri sanaa barikiwa